6/recent/ticker-posts

Hivi wanasoma na wanakwenda skuli hawa?



Watoto katika mji wa Wete wakijishughulisha na uuzaji wa mboga mboga, katika maeneo ya Stendi kongwe ya mjini Wete (maguzo manne) wakati ukiwa ni muda wa kwenda Skuli na Madrasa , kama walivyokutwa na mpiga picha wetu Pemba.

Picha na Bakar Mussa-Pemba.

Post a Comment

0 Comments