TIMU ya Madaktari bingwa kutoka Tanzania bara, kulia
ni Dkt Fat hiya Ali na Kushoto ni Dkt Rashid Mohamed Salum, wakimfanyia Upasuaji
mmoja ya mama aliyehitaji huduma hiyo katika hospitali ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
BASI LA KINGS MASAI TOURS LAKAMATWA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
TANZANIA NA MSUMBUJI, MMILIKI AHOJIWA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogamu
9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki 11 na magari mat...
48 minutes ago
0 Comments