Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, ndugu Idrissa Kitwana Mustafa awasili leo Sweden akifuatana na ujumbe wa watu kumi kutoka Makunduchi. Kwenye uwanja wa ndege wa Arlanda Sweden Mkuu huyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake beans Bojorn Sweden juu ya kuimarisha uhusiano uliokuwepo Kati ya Wadi ya Makunduchi na Manispaliti ya Sindsvall.
SERIKALI YAAGIZA KUONGEZA KASI UFUATILIAJI MAGONJWA YA MFUMO WA NJIA YA HEWA
-
Na Hassan Kimweri, WAF - Morogoro
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeziagiza Hospitali za Rufaa za Mikoa,
Taifa, Wilaya na Vituo vya Afya kuongeza kasi y...
42 minutes ago
0 Comments