6/recent/ticker-posts

Msaada wa Kumalizia Kuezeka Madrasa Ihsan Ilioko Kata ya Bwaga Chato Geita.

Jengo la Madrasatul Ihsan ilioko katika Kata ya Bwaga Inahitaji Msaada wako kumalizia Ujenzi huu kuweza kutoa Elimu ya Dini kwa Watoto wa Kiislam. 

Assalaam alaikum, Tafadhali ,Uongozi wa Madrasat IHSAN iliyoko  Kata ya bwanga ,Wilaya ya Chato ,Mkoa wa Geita unaomba msaada wa Mabati ya kuezekea  Vyumba vya madrasa

Na kwa mawasiliano zaidi piga 0759913148/0688005513. Utaongea na  Mr. Nasibu Yasini Butoki.
 Allah akulipe kheri.

Post a Comment

0 Comments