Mchezaji wa Timu ya Kilimani City na Taifa ya Serengeti Boys Hussein Mwinyi (DECO) akiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar akitokea Jijiji Dar es Salaam alikokua akishiriki katika Timu ya Taifa ya Seregenti Boys ikiwakilisha Tanzania katika michuano ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 iliomaliza michuano hiyo hivi karibuni.
Bi.Fauzia Malik na Bi.Angelic wateuliwa Bodi ya Wakurugenzi Equity Bank
Tanzania
-
Equity Bank Tanzania imewateua Bi. Malik na Bi. Tarimo kwenye Bodi ya
wakurugenzi na inatarajia kufaidika na ujuzi wao mkubwa huku Benki
ikiendelea kuimari...
1 hour ago
0 Comments