Wavuvi kutoka katika Kijiji cha Kizimkazi Unguja wakishusha samaki aina ya Nduaro katika marikiti Kuu ya Darajani Unguja kutoka katika gari ya abiria ya Kizimkazi
KATUNGU: TAKWIMU SAHIHI MAGEREZANI NI MUHIMU
-
Na Mwandishi wetu - Dodoma
Jeshi la Magereza Tanzania limehimiza matumizi sahihi ya takwimu za
wafungwa na mahabusu kama nyenzo muhimu ya kupanga na kub...
15 minutes ago
0 Comments