Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Munaa wakiwa katika chumba
cha mitihani katika Skuli ya Kisiwandui wakijumuika na wanafunzi wengine
wakisubiri kufanya mtihani wa wa somo la Sayansi.
Taarifa Binafsi : PDPC Yatoa Onyo Kali: Faini Hadi Bilioni 5 kwa Taasisi
Zitakazokaidi Usajili wa Taarifa Binafsi
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa
hiari kwa taasisi zinazokusanya na kuchaka...
6 hours ago
0 Comments