‘KUMEKUCHA’ Mburura mkokoteni katika eneo la bandarini Mkoani
Pemba, akiyasafirisha madumu matupu ya mafuta kupikia, ikiwa ni sehemu ya kazi
yake ya kujipatia kipato cha halali kila siku, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Vifo 556 hadi 104: Jinsi Tanzania ilivyopunguza vifo vya uzazi kwa kinamama
-
Mwandishi Wetu,
Dar es Salaam.
TAKWIMU kutoka cha Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa Afrika (CDC-Afrika)
zinaonyesha kuwa, vifo vya uzazi Tanzania vimepungua...
5 minutes ago
0 Comments