Mwenyekiti wa Umoja wa Watu wa Tanga Zanzibar akizungumza wakati wa mkutano Mkuu wa Umoja huo uliofanyika katika ukumbi wa Studio ya Sanaa Rahaleo Zanzibar. akizungumzia maendeleo ya Umoja huo kwa Wanachama wake kwa kutoa taarifa ya mwaka.
MUUNGANO WAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO
-
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na (Mazingira) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasil...
9 hours ago
0 Comments