Mamdhari ya Mji wa Zanzibar katika muonekano wake kwa mandhari ya juu jinsi ilivyo kuwa na mvuto wa kiasi fulani na kuonekana kupendeza na kuupamba mji huo.
Mradi wa CookFund unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutekelezwa na
UNCDF waleta Mageuzi ya matumizi ya Nishati katika taasisi za umma.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Zaidi ya wanafunzi 62,000 kote Tanzania sasa wananufaika na majiko salama
na safi zaidi kufuatia usakinishaji wa zaidi ya majiko...
2 hours ago
0 Comments