HAKIKISHENI MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA HAUSIMAMI - DKT MWIGULU
-
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi
wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze
kutoa hud...
3 hours ago
2 Comments
Wanasema sasa hivi wao wanahangaikia maendeleo, jee hilo shirika si moja ya maendeleo ? Si watu watapata ajira? Au Nini maendeleo Kwa wakubwa wetu ? Ajinufaishe yeyé na aila yake ? Wengine tubaki tu na uchumi usio siha ? Mungu anakuoneni na sote tunaenda ardhini .....
ReplyDeletehao mabwana zetu si washakataa kwani?, mana nilisikia lipo la Tanzania hakuna haja na Zanzibar kuanzisha lake
ReplyDelete