Beki wa Timu ya Zimamoto mwenye jezi ya njano Suleiman Sheha na Mshambuliaji wa Timu ya Azam Yahya Mohammed wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Kundi B, wakiwania mpira. Katika mchezo huo Timu ya Azam imeshinda kwa bao moja lililofungwa na mshambuliaji Shabani Iddi katika dakika ya 79 ya kipindi cha pili baada ya kumpiga kazu kipa wa timu ya Zimamoto Hassan Jumanne.
Watu 600 kushiriki semina ya AAT Moro
-
Na MWANDISHI WETU
ZAIDI ya washiriki 600 kutoka ndani na nje ya nchi wanataraji kushiriki
semina maalumu ya uendeleaji na upangaji wa miji inayo kua.
Semi...
1 hour ago
0 Comments