Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wa sita kulia) akishiriki kuswalia jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC, Mwalimu Ali Mbaga wakati wa mazishi yaliyofanyika leo Feb 8, 2017, katika kijiji cha Kighare, Usangi wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, leo. Mbaga ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM, waliofariki kwa ajali ya gari wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM katika mkoa huo.(Picha na Bashir Nkoromo)
Je Simba Msimu Huu Ataondoka Kapa Tena?
-
LEO hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko
yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier
Leagu...
21 hours ago

0 Comments