6/recent/ticker-posts

Maonesho ya Tamasha la Busara katika Viwanja vya Forodhani Zanzibar.

Msanii kutoka Nchi Somaliland Sahra Halgan Trio akitowa burudani ya muziki wa Kisomali katika viwanja vya bustani ya Forodhani Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Busara Zanzibar linaloendela katika viwanja hiyo na vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar kwa kuwashirikisha wasanii 400 kutoka katika Nchi za Afrika.










Post a Comment

0 Comments