6/recent/ticker-posts

Nyumba yapata Ajali ya Moto Mtaa wa Kwahani Jana Usiku na Kuteketeza Vitu Vyote katika Nyumba Hiyo.

Wananchi katika Mtaa wa Kwahani wakiangalia nyumba iliyoteketea kwa moto uliotokea jana usiku katika majira ya saa 2 usiku na kuteketeza vitu vyote viliokuwa katika Nyumba hiyo hakuna kitu kilichoweza kuokolewa katika ajali hiyo ya moto na Kunusuru wakazi wake na hakuna Mtu aliyejeruhiwa. 













Post a Comment

0 Comments