Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akishiriki katika zoezi la ujenzi wa Taifa wa katika ujenzi wa Maskani ya Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni kuimarisha Chama kwa ngazi za Matawi kusherehekea miaka 40 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi. Katika kuadhimisha miaka 40 ya CCM Uongozi wa CCM Mkoa wa Kusini umefanya ziara kutembelea Jimbo la Tunguu kujionea m,aendeleo ya kuimarisha Chama katika ngazi za Matawi kwa kuimarisha matawi yake.
WAZABUNI RUVUMA, IRINGA NA NJOMBE WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA MODULI YA
RUFAA
-
Na Mwandishi Wetu, Songea na Iringa
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewakutanisha wazabuni na
Taasisi Nunuzi wa mikoa ya Ruvuma, Iringa na Nj...
59 minutes ago
0 Comments