6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa kitabu 'The Child and the Law'

 Dk Mohammed Makame Haji wa Zanzibar University alipokuwa akizungumza wakti wa uzinduzi wa kitabu chake The Child and the Law kitabu kinachozungumzia kwa mapana sheria na ulizniwa masuala ya watoto nchini. Uzinduzi huuulifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View tarehe 13/02/2017 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali
 Waziri wa Katiba na Sheria wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Harrison Mwakyembe akizindua kitabu cha The Child and the Law kitabu kinachozungumzia kwa mapana sheria na ulizniwa masuala ya watoto nchini. Uzinduzi huu ulifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View tarehe 13/02/2017 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali. 
 Baadhi ya wananchi mbambali waliohudhuria uzinduzi huo uliofanyika Zanzibar Ocean View
 Baadhi ya viongozi mbambali waliohudhuria uzinduzi huo uliofanyika Zanzibar Ocean View akiwemo naibu kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali

Post a Comment

0 Comments