6/recent/ticker-posts

Mvua za Masika Zikiendelea Kunyesha Katika Maeneo Mbalimbali Kisiwani Pemba.


MOJA ya nyumba za kijiji cha Mwambe wilaya ya Mkoani inayoendelea kuathirika kutokana na mvua, kwa kupitiwa na maji, jambo linalosababisha wakaazi wa nyumba hiyo kuhama na mwengine kubakia nje wakati mvua ikinyesha, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Post a Comment

0 Comments