Mafundi wa Idara ya Utunzaji Barabara Zanzibar akiweka kifusi katika barabara ya Rahaleo baada ya kuharibika kutokana na mvua za Masika zinazonyesha katika maeneo mbali ya mji wa Zanzibar na vitongoji vyake na kusababisha kuharibika kwa miundombinu ya barabara.
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTAMBUA WAJIBU WAO ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI.
-
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Regina Qwaray akizungumza na watumishi Umma wa Halmashauri ya
Mji na bab...
1 hour ago
0 Comments