Hivi ndivyo itakavyokuwa eneo la Michezani Makontena baada ya kumaliza Ujenzi wa Mradi huu na kutowa fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara katika majengo ya kisasa na kutowa tasura nzuri na ya kupendeza katika eneo hilo la michezani makontena.
Muonekano wa makontena Michenzani Zanzibar ambapo eneo hilo linaimarishwa kwa ujenzi wa maduka ya kisasa na kutowa muonekano mzuri na wa kupendeza katika mji wa Zanzibar kwa wageni wanaotembelea katika visiwa vya marashi ya karafuu Zanzibar.


0 Comments