Ujenzi wa mabanda kwa ajili ya wafanyabiashara katika viwanja vinavyotarajiwa kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitry baada ya mfungo w Mwezi wa Ramadhani kumalizika mwishoni mwa wiki hii yamekamilika kutoka kwa baraza la manispa zanzibar kufanikisha ujenzi huo. Unaofanywa na kampuni ya Africana. Mabanda hayo hukodishwa kwa siku nne kwa shilingi 80,000/= na 70,000/= kutegemea biashara unayofanya.
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU ILI MTOTO WA KITANZANIA APATE HAKI YAKE YA
MSINGI YA ELIMU BORA - PROF. SHEMDOE
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe
amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea
kusimamia ub...
10 hours ago




0 Comments