6/recent/ticker-posts

Maandalizi ya Sikukuu ya Eid el Fitry Zanzibar.

Mfanyabiashara ya mayai kisiwani Unguja akiwa katika harakati za kupanga mayai kwa ajili ya wateja wake,bidhaa ya mayai katika kipindi hichi cha maandalizi ya sikukuu hutumika sana kwa maandalizi ya mahanjumati kusherehekea sikukuu baada ya mfungo treya moja inauzwa kati ya shilingi 9500/= na 11,000/=.

Post a Comment

0 Comments