Meli ya kampuni ya Azam Marine ikiwa katika bandari ya Forodhani Zanzibar ikiwa katika kupakia mizigo kuanza safari zake za Pemba na Tanga inatowa huduma ya usafiri kwa wananchi wa maeneo hayo na kupunguza kero ya usafiri kwa pande mbili hizo kuwa na usafiri wa uhakika.
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU ILI MTOTO WA KITANZANIA APATE HAKI YAKE YA
MSINGI YA ELIMU BORA - PROF. SHEMDOE
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe
amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea
kusimamia ub...
7 hours ago

0 Comments