6/recent/ticker-posts

Ajali Gari Kijiji cha Kiyuni Mkoani.

GARI aina ya Nooha yenye namba za Usajili Z890EP, ambayo ilimshinda dereva na kutumbukia Bondeni, katika eneo la kona Kiyuni Wilaya ya Mkoani, ikinyanyuliwa juu na Kirini baada ya kupata ajali na kuingia bondeni kukiripotiwa hakuna mtu aliyepoteza maisha.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

Post a Comment

0 Comments