Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe akijianda kupimta beki wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja. Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa mabao 4-1.
WAHARIRI WATEMBELEA MRADI WA REA USAMBAZAJI WA UMEME VITONGOJI SITA
WILAYANI LUDEWA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetembelea mradi wa kusambaza umeme
katika vitongoji sita vilivyopo ukanda wa Ziwa Nyasa...
1 hour ago
0 Comments