Dereva wa pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa katika maeneo ya kituo chake akisubiri abiria akiwa na kizibao kikiwa na ujumbe Boda Boda Fasta. Usafiri wa njia ya pikipiki umekuwa ni rahisi na nafuu kwa wananchi kufika katika safari zao katika mitaa isiyopita gari na kutumia usafi huo kwa bei nafuu inategemea umbali wa eneo na kuanza kwa kiasi cha shilingi 2000/=
ORYX GAS YATOA MKONO WA EID KWA WATOTO WANAOLELEWA NEW FARAJA ORPHANAGE
-
Na Mwandishi Wetu
KITUO cha kulea watoto yatima cha New Faraja Orphanage kilichopo Mburahati
jijini Dar es Salaam kimepokea msaada mkubwa wa vyakula mbalim...
1 hour ago
0 Comments