Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akionesha picha zilizotolewa zawadi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa huo wakati wa Mkutano wac majumuisho ya ziiara yake yaliofanyika katika ukumbi wa zamani Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
19 hours ago
0 Comments