Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na mfanyabiashara maarufu Zanzibar Said Bakressa akitembelea Mradi wa Nyumba za Kisasa Fumba zinazojengwa na mfanyabiashara huyo katika eneo hilo la maeneo huru ya Uchumi Zanzibar akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mapinduzi ya Kasino Mtandaoni Yaletwa Na Nguvu Mpya ya EGT Digital
-
KARIBU kwenye enzi mpya ya michezo ya mtandaoni ambapo Meridianbet
imefungua ukurasa mpya kwa kushirikiana na EGT Digital, jukwaa linaloleta
ubora wa hali...
1 hour ago
0 Comments