6/recent/ticker-posts

Michuano wa NMB Mapinduzi Cup 2026 Kati ya Muembemakumbi City na Fufuni Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex.Katika Mchezo Huo Ulimazizika kwa Rare ya Bao 1-1

Mshambuliaji wa Timu ya Ufufuni James Lameck akijaribu kumpita mchezaji wa  Timu ya Muembemakumbi City Ali Juma Mahazi katika mchezo wao wa Michuano ya  NMB Mapinduzi Cup 2026, uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar . Katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya Bao 1-1.   
Mshambuliaji wa Timu ya Fufuni James Lameck Kahinde akiwapita wachezajin wa Timu ya Muembemakumbi City, wakati wa mchezo wa Michuano wa NMB Mapinduzi Cup 2026, mchezo uliyofanyika katika uwanja wa new Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1. 



Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City Suleiman Hamad Khamis akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Michuani wa NMB Mapinduzi Cup 2026, mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.

 

Post a Comment

0 Comments