6/recent/ticker-posts

Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 Yarindima Uwanja wa New Amaan Complex Miamba Miwili TRA na KVZ Zatoka Sare ya Bao 1-1

Mshambuliaji wa Timu ya TRA  United Enock Mkanga (kulia) na (kushoto) beki wa Timu ya KVZ Juma Shaban Hussein  wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa  New Amaan Complex, katika mchezo huo Timi hizo zimetoka sare ya bao 1-1. 







Post a Comment

0 Comments