MKUU
Wa Wilaya ya Chake Chake kutoka kushoto Salama Mbarouk Khatib ,akisikiliza mnada wa ukodishwajki
wa Mashamba ya eka za Seikali mbele ya Dalali wa Serikali kutoka idara ya
Misitu Pemba Fumu Ali Fumu ,huko katika bonde
la Mtimbu Shehia ya Chonga , (Picha na Thureya
Ghalibu, Pemba ).
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
6 hours ago

0 Comments