6/recent/ticker-posts

Ni Mtaro au Jaa la Taka? Kwa namna hii mafuriko na maradhi ya mripuko yatakwisha?



Huu ni mtaro wa kupitishia maji machafu wa baina ya Mkele na Shaurimoyo kama ulivyokutwa na mpiga picha wetu Miza Kona wa Habari Maelezo

Post a Comment

0 Comments