6/recent/ticker-posts

Kazi ya Mkono Haimtupi Msanii

Kijana akiwa katika kazi yake ya uchoraji katika mitaa ya mji mkongwe Zanzibar eneo la hurumzi,katika mitaa hiyo inayotembelewa na wageni wengi kujionea maajabu na historia ya Zanzibar katika majengo yake na maarufu kwa biashara za kitalii.

Post a Comment

0 Comments