Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili Jumuiya ya Afrika Mashariki Profesa Kenneth Simala akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha usiku baada ya kumalizika Kongamano la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika Zanzibar katika hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar na kushirikisha Wadau mbalimbali wa Kiswahili kutoka Nchi za Afrika Mashariki na Nje walihudhuria Kongamano hilo. Hafla hiyo ya Chakula cha usiku na Taraan ya Kikundi cha Rahatul Zamani ilifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani
-
wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani.
Na Mwandishi Wetu
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania...
7 hours ago
0 Comments