Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys akijaribu kumpita beki wa Timu ya Black Sailors wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Black Sailors imeshinda bao 1-0.
TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA NCHI ZA NODIKI KATIKA SEKTA YA AFYA
-
UBALOZI wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za
N...
41 minutes ago
0 Comments