Wafanyakazi wa Kampuni ya DEZO inayojenga matuta katika ufukwe wa pwani ya kilimani wakiendelea na ujenzi huo kwa kukusanya mawe kupeleka sehemu husika kunusuru maji ya bahari kuvuka na kuingia katika eneo la makaazi na kuharibu mazingira ya eneo hilo ambalo tayari limeshaathirika na kufikiwa kwa maji ya bahari.
MBUNGE BUKOBA MJINI ATOA MSAADA KWA MAKUNDI MAALUM,WANUFAIKA WA TASAF
-
Na Diana Byera,Bukoba
MBUNGE wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mutasingwa ameendelea kugusa
maisha ya wananchi kwa vitendo baada ya kutoa msaada kwa mak...
1 hour ago
0 Comments