Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, kamishina msaidizi mwandamizi wa jeshi la polisi (SACP) Fortunatus Musilim, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) wakati akimtangaza rasmi mdhamini mkuu wa Wiki ya Nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam, inayotarajia kuanza Nov 18 hadi 25 kwenye Viwanja vya Biafra jijini. Kushoto kwake ni Mkuu wa Matawi na Mitandao wa Benki ya StanBic, ambao ni wadhamini, Mussa Kitoi (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Teddy Mapunda. Picha na Muhidin Sufiani
MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO WIKI YA MAJI
MKOANI MOROGORO
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akisafiri kwa Treni ya Kisasa ya Umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam
kue...
7 hours ago

0 Comments