6/recent/ticker-posts

Orodha ya Makampuni ya Simu Yaliotimiza Agizo la Rais Dkt.John Magufuli Kujiunga na Mfumo wa E-RCS

Kampuni za Smile Tanzania, Smart na Vodacom ndio kampuni pekee za simu ambazo hazijatii agizo la Mhe. Rais la kujiunga na Mfumo wa Kulipa Kodi Kielektroniki.

Post a Comment

0 Comments