GARI inayotumiwa
na Ofisi ya Mufti kisiwani Pemba, yenye namba za usajili SMZ 148 A, ikiwa mbele
ya ofisi hiyo, tayari imeshatiwa mnyororo wenye bati, lililotengenezwa mithili
ya msumeno, na mtendaji anaedhaniwa kuwa ni wa Baraza la Mji Chakechake, ambapo
kwa sasa limekua gumzo ndani ya mji wa huo na hasa kwa wale ambao ofisi zao ziko
pembezoni mwa barabara, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
UKAGUZI WA MABASI YA ABIRIA WAFANYIKA KUDHIBITI AJALI
-
Na Pamela Mollel Arusha
Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Usalama barabarani limefanya
ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria kwa ajili ya kudhibit...
1 hour ago
0 Comments