6/recent/ticker-posts

Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raajiun Hans J.

Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun 

Aliewahi kuwa mtangazaji wa TvZ ambae baadae alihamia na kutangaza Radio ya Swahiba FM, Hassan Jureij maarufu Has J amefariki dunia.
Na kuzikwa leo saa asubuhi.

Post a Comment

0 Comments