6/recent/ticker-posts

Mikandaa inavyoathiriwa na mafuta bandari ya Wesha

LICHA ya Jamii na Vikundi mbali mbali Kisiwani Pemba, kupanda miti ya mikandaa kwa wingi, ili kuzuwia athari za mabadiliko ya Tabia nchi, Pichani Miti hiyo ya mikandaa ambayo imestawi vizuri  inakufa kufuatia mafuta yanayomwagika katika  bandari ya Wesha.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

Post a Comment

0 Comments