Uongozi wa Timu ya Baraza la Wawakillishi Sports Club yawapokea Wageni wao kutoka Arusha Wazee Sports Club kwa ajili ya michezo ya kirafiki kuadhimisha Tamasha la Michezo ya Pasaka, inayotarajiwa kufanyika kesho katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa michezo mbalimbal;i ya Mpira wa Pete Mpira wa Miguu na Resi za magunia na kufukuza kuku.. Imewasili Zanzibar kwa boti ya Kilimanjaro leo asubuhi.
Bi.Fauzia Malik na Bi.Angelic wateuliwa Bodi ya Wakurugenzi Equity Bank
Tanzania
-
Equity Bank Tanzania imewateua Bi. Malik na Bi. Tarimo kwenye Bodi ya
wakurugenzi na inatarajia kufaidika na ujuzi wao mkubwa huku Benki
ikiendelea kuimari...
1 hour ago
0 Comments