Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla na mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimjulia hali baba mzazi wa Mwanahabari maarufu Juma Mmanga , alielazwa katika Hospitali ya Chake Chake Pemba.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments