Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi amekutana na kufanya mazugumzo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bw. Said Hassan Said. Katika mazungumzo yao viongozi hao wamebadilishana mawazo ya namna ya kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku yanayosimamia masuala ya sheria na utaoaji haki. Pichani Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Bw. Said Hassan Said akimkabidhi Dk. Adelardus Kilangi Katiba ya Zanzibar ( picha na Ofisi ya AG
TECNO YAZINDUA UWANJA WA KISASA WA MPIRA WA MIGUU MWANANYAMALA JIJINI DAR
-
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya TECNO mobile limited imezindua uwanja wa kisasa katika eneo la
Mwananyamala ambao utakaokuwa ukitumiwa na vijana na watoto ku...
2 hours ago
0 Comments