Maalim Seif Nassor Mohammed Al Harthiy (Seif Mshumaa) amefariki maziko yake yatafanyika Michenzani Jumba namba 6 Alaasiri. Alizaliwa 6/6/1936. Aliwahi kuwa Mwalimu, Producer Manager wa Televishion Zanzibar (TVZ) na Mwanasiasa na pia Mwanasoka maarufu aliyeshinda katika mashindano mbali mbali. Maelezo yake mengine hapa chini.
FCC NYANDA ZA JUU KUSINI YATOA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
-
Na.*Mwandishi Wetu*
*TUME ya Ushindani (FCC) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imeadhimisha Wiki ya
Haki za Mlaji Duniani kwa kutoa msaada wa vifaa tiba k...
31 minutes ago


0 Comments