Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud (kulia) akifafanua jambo wakati alipokutana na waandishi wa habari kutoa taarifa rasmi kuhusu mwezi wa Ramadhan na sikukuu ya eid el fitri. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa huo Hamida Mussa Khamis, katikati ni mwandishi wa Habari mwandamizi Salum Vuai.
Kutumia Mifumo ya Kidijitali Kuendeleza Ukuaji wa Mapato ya Taifa
-
Jinsi ETS, Uwekaji Alama ya Mafuta na matumizi ya Takwimu yamebadilisha
mfumo wa uthibitishaji wa mapato nchini Tanzania mwaka huu.
Safari ya mapato ya Tan...
2 hours ago

0 Comments