MSHINDI wa Kwanza katika mbio ndefu za Kilomita 42 kutoka Konde hadi Gombani, Beatus Stevin akipokea zawadi yake ya kikombe, kutoka kwa afisa mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja,(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Mary Chatanda kuongoza kongamano la CCM China kwa njia mtandao
-
Na: Mwandishi Wetu
Wanachama wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), tawi la China (Diaspora),
limeandaa Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 k...
12 minutes ago
0 Comments