Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifungua mafunzo ya Siku moja kuhusiana na Vifungashio vya Bidhaa zao na Kutumia Mitando kufanya biashara hiyo kwa Mataifa Mbalimbali Duniani kama ijulikanayo E-Commerce, Mafunzo hayo yameandaliwa na Kampuni ya kusafirisha vifurushi ya DHL, yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hytta na kuwashirikisha Wajasiriamali kutoka Unguja na Pemba.
TASAC YANUNUA BOTI MBILI ZA UTAFUTAJI NA UKOAJI TANGA NA KIGOMA
-
Kaimu Meneja wa Usajili na Ukaguzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania
(TASAC) Mhandisi Said Kaheneko akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana
na u...
7 hours ago
0 Comments