6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Timu ya Mlandege na Timu ya Benki ya DTB. Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungana.

Mshambuliaji wa Timu ya Benki ya DTB akijaribu kumpita beki wa Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.








 




Post a Comment

0 Comments