Muonekano wa Tausi katika Kisiwa cha Changuu Zanzibar akiwa katika pozi ya kuchanua Mkia wake ukiwa na Rangi za kupendeza na kuwavutia Watalii wanaofika katika Kisiwa hicho Maarufu Zanzibar. Kwa shughuli za Kitalii.
Mkurugenzi TTB : Nchi Imeendelea kuwa Mfano Afrika katika Kuunganisha
Juhudi za Uhifadhi, Maendeleo ya Utalii
-
Na Mwandishi Wetu
UZOEFU wa Tanzania katika kuunganisha uhifadhi wa maliasili na maendeleo ya
sekta ya utalii umevutia wataalamu kutoka nchini Zambia, ...
18 minutes ago
0 Comments